Aidha wanafunzi 7818, walimu 703 na wafanyakazi wa shule wamejeruhiwa hadi sasa katikaa vita viliviyoanza baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa. Pia, wanafunzi 85 na walimu 71 wamekamatwa huku utawala wa Kizayuni ukiwa umelenga kwa mabomu na makombora shule 92 za umma, mashirika yasiyo ya kiserikali na yenye mafungamano na mashirika ya kimataifa huko Gaza.